nipetanosolowa.blogspot.com
KWA MAONI,USHAURI,HABARI NA MATANGAZO MBALIMBALI WASILIANA NASI NAMBA +255714545215(for SMS)
Friday, May 3, 2013
50 CENT ANAMTAFUTA RICK ROSS
50 Cent aanza kumchokoza tena Rick Ross Baada ya Post picha za Rick Ross na P DIDDY katika pozi la kimahaba katika mtandao.
Monday, October 8, 2012
RICK ROSS AWAFAGILIA WATANZANIA........
Mmoja wa watangazaji wa redio Choice FM inayomilikiwa na Clouds Media Group,Vanessa Mdee akifanya mahojiano mafupi na mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross jioni jana ndani ya hotel ya Hyatt Kilimanjaro Kempiski Jijini Dar es salaam,kushoto ni mtangazaji wa clouds Fm Millard Ayo.
Rick Ross juzi kuamkia jana usiku alitoa burudani kwa watanzania waliopo Dar es salaam.show hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Leaders Club
Mwanamuziki Rick Ross akiwa na washabiki wake Jijini Dar es salaa mda mfupi kabla ya kuondoka.
Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross"THE BOSS" akiwa katika picha ya pamoja na Vanessa Mdee na Feza Kessy.
Rick Ross akipeana tano na Millard Ayo mara baada ya kumaliza mahojiano yake,akiwa tayari kabisa kwa safari ya kurudi nchini mwake Marekani.

Sunday, October 7, 2012
WAZIRI MEMBE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MGOGORO WA MPAKA KATIKA ZIWA NYASA.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe.Bernard Membe(MB) katikati akifafanua kuhusu hoja ya Malawi za kujitoa katika mazungumzo kuhusu mgogoro kati yake na Tanzania kuhusu mpaka katika Ziwa Nyasa,wengine kulia ni Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bw.John M Haule na Mkurugenzi wa kitengoa cha sheria wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,Balozi Irene Kasyanju.
Katibu mkuu wa wazira ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bw.John M Haule akifafanua jambo.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe.Bernard K Membe akifafanua juu ya ramani ya Tanzania na mpaka wake uliopo ziwa nyasa na Malawi.

Saturday, October 6, 2012
RICK ROSS AWASILI TANZANIA KWA AJILI YA SHOW YA FIESTA 2012.
Meneja wa bia ya serengeti ambao ndio wadhamini wa kuu wa tanasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki kutoka nchini Marekani RICK ROSS mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa J k Nyerere Jijini Dar es salaam,akiwa na baadhi ya wanamuzikiwenzake pichani nyuma.
Mwanamuziki RICK ROSS anatarajia kufanya shoo leo tarehe 6/10/2012 katika viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki RICK ROSS anatarajia kufanya shoo leo tarehe 6/10/2012 katika viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es salaam.
Friday, October 5, 2012
WAREMBO WAPO KAMBINI KUJIANDAA NA REDD'S MISS TANZANIA 2012.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo katika hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar es salaam,Jumla ya warembo 30 wameingia kwenye kambi hiyo kujiandaa kumsaka mrembo wa Tanzania ambapo fainali zake zitafanyika novenber 3,2012 katika hotel ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.Kwasasa taji hilo la Miss Tanzania linashikiliwa na Salha Israel ambapo muda wake utaisha baada ya kupatikana Miss Tanzania Atakayempokea taji hilo hapo november 3,2012.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa wanabadilishana mawazo wakiwa katika kambi yao,tayari kujiandaa na fainali za Redd's Miiss Tanzania 2012 ambazo zitafanyika tarehe 3/11/2012 Jijini Dar es salaam.
Baadhi ya warembo wa kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa na waandisji wa habari baada ya kuwatembelea katika kambi yao.

Monday, October 1, 2012
MB DOG ANAKUJA NA VIDEO MPYA YA WIMBO WAKE UNAOITWA "THE ONLY ONE".
Aliyehusika upande wa camera man katika video hiyo ya Mb Dog Abdul,yeye ndiye aliyesimamia mpango wa picha Production inayojulikana kwa jina la Kagua Film.Vipande vya video hiyo vilifanyika katika hotel inayojulikana kwa jina la Villa.
Mb Dog akiimba kwa hisia katika video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la ''The only one''
Hapo Mb Dog akishoot huku akimwimbia Video Queen ambaye amehusika katika video hiyo mpya ya "The only one''
Hii ndio crew inzima iliyo husika katika kufanya video hiyo mpya ya Mb Dog inayojulikana kwa jina la ''The only one''.tusubiri kuona ujio mpya wa Mb Dog ambaye alikuwa kimya kitambo kidogo.

Saturday, September 29, 2012
RICK ROSS IN TANZANIA..................
Msanii wa hip hop kutoka Marekani Rick Ross annatarajia kufanya shoo kali katika Tamasha la Fiesta litakalo fanyika katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni,Jijini Dar es Salaam siku ya jumamosi ya tarehe 06/10/2012.Msanii Rick Ross ndio mara yake ya kwanza kuja Tanzania,Anatarajiwa kusindikizwa na wasanii kibao wa hapa Tanzania katika tamasha hilo la Fiesta 2012,kama Roma,Linnah,Mwana Fa,Diamond,Barnaba,Godzillar na wasanii wengine wengi wa hapa nyumbanii.Tamasha la Fiesta huandaliwa na Clouds Fm,Mwaka huu likiwa na kauli mbiu FIESTA 2012 BHAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSSSSSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..........