www.nipetanosolowa.blospot.com

Monday, October 8, 2012

RICK ROSS AWAFAGILIA WATANZANIA........

      Mmoja wa watangazaji wa redio Choice FM inayomilikiwa na Clouds Media Group,Vanessa Mdee akifanya mahojiano mafupi na mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross jioni jana ndani ya hotel ya Hyatt Kilimanjaro Kempiski Jijini Dar es salaam,kushoto ni mtangazaji wa clouds Fm Millard Ayo.
  Rick Ross juzi kuamkia jana usiku alitoa burudani kwa watanzania waliopo Dar es salaam.show hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Leaders Club
     Mwanamuziki Rick Ross akiwa na washabiki wake Jijini Dar es salaa mda mfupi kabla ya kuondoka.
   Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross"THE BOSS" akiwa katika picha ya pamoja na Vanessa Mdee na Feza Kessy.
   Rick Ross akipeana tano na Millard Ayo mara baada ya kumaliza mahojiano yake,akiwa tayari kabisa kwa safari ya kurudi nchini mwake Marekani.

No comments: