Picha ya chini: Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa aliyemaliza muda wake Dkt. Asha Rose Migiro akiwa kwenye picha ya pamoja na spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda pamoja na wanachama wa chama cha wabunge wanawake wa Tanzania.Dkt Asha Rose Migiro yupo mjini Dodoma kwa mualiko wa spika wa Bunge.Ametumia firsa hiyo kukutana na wabunge wanawake kuwaasa kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo yao.
No comments:
Post a Comment