www.nipetanosolowa.blospot.com

Monday, October 1, 2012

MB DOG ANAKUJA NA VIDEO MPYA YA WIMBO WAKE UNAOITWA "THE ONLY ONE".

      Aliyehusika upande wa camera man katika video hiyo ya Mb Dog Abdul,yeye ndiye aliyesimamia mpango wa picha Production inayojulikana kwa jina la Kagua Film.Vipande vya video hiyo vilifanyika katika hotel inayojulikana kwa jina la Villa.
         Mb Dog akiimba kwa hisia katika video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la ''The only one''
.
     Hapo Mb Dog akishoot huku akimwimbia Video Queen ambaye amehusika katika video hiyo mpya ya "The only one''
   Hii ndio crew inzima iliyo husika katika kufanya video hiyo mpya ya Mb Dog inayojulikana kwa jina la  ''The only one''.tusubiri kuona ujio mpya wa Mb Dog ambaye alikuwa kimya kitambo kidogo.

No comments: