www.nipetanosolowa.blospot.com

Friday, October 5, 2012

WAREMBO WAPO KAMBINI KUJIANDAA NA REDD'S MISS TANZANIA 2012.

   Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo katika hoteli ya  Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar es salaam,Jumla ya warembo 30 wameingia kwenye kambi hiyo kujiandaa kumsaka mrembo wa Tanzania ambapo fainali zake zitafanyika novenber 3,2012 katika hotel ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.Kwasasa taji hilo la Miss Tanzania linashikiliwa na Salha Israel ambapo muda wake utaisha baada ya kupatikana Miss Tanzania Atakayempokea taji hilo hapo november 3,2012.
    Baadhi ya washiriki wa  shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa wanabadilishana mawazo wakiwa katika kambi yao,tayari kujiandaa na fainali za Redd's Miiss Tanzania 2012 ambazo zitafanyika tarehe 3/11/2012 Jijini Dar es salaam.
  Baadhi ya warembo wa kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa na waandisji wa habari baada ya kuwatembelea katika kambi yao.

No comments: