Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe.Bernard Membe(MB) katikati akifafanua kuhusu hoja ya Malawi za kujitoa katika mazungumzo kuhusu mgogoro kati yake na Tanzania kuhusu mpaka katika Ziwa Nyasa,wengine kulia ni Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bw.John M Haule na Mkurugenzi wa kitengoa cha sheria wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,Balozi Irene Kasyanju.
Katibu mkuu wa wazira ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bw.John M Haule akifafanua jambo.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe.Bernard K Membe akifafanua juu ya ramani ya Tanzania na mpaka wake uliopo ziwa nyasa na Malawi.
No comments:
Post a Comment