www.nipetanosolowa.blospot.com

Saturday, October 6, 2012

RICK ROSS AWASILI TANZANIA KWA AJILI YA SHOW YA FIESTA 2012.


  Meneja wa bia ya serengeti ambao ndio wadhamini wa kuu wa  tanasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki kutoka nchini Marekani RICK ROSS mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanja wa  ndege wa kimataifa wa J k Nyerere Jijini Dar es salaam,akiwa na baadhi ya wanamuzikiwenzake pichani nyuma.
  Mwanamuziki RICK ROSS anatarajia kufanya shoo leo tarehe 6/10/2012 katika viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es salaam.

No comments: