www.nipetanosolowa.blospot.com

Monday, August 20, 2012

WAISLAMU WANASHEREHEKEA SIKUKUU YA IDD EL FITR NA PIA BLOG YAKO YA NIPETANOSOLOWA TUNAWATAKIA WAISLAM WOTE DUNIANI IDD MUBBARAKA.

      Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Yusuph Mwenda wakati akiwasili kwenye msikiti wa Kinondoni kusali swala ya idd el Fitr.
      Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya mashekh kabla ya swala ya idd el fitr.
      Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa idd el fitr na waumini wenzake wa kiislam baada ya swala ya idd el fitr katika msikiti wa Kinondoni,jijini Dar es salaam.

No comments: