www.nipetanosolowa.blospot.com

Thursday, August 16, 2012

FABRICE MWANBA ASTAAFU SOKA...........

   Mchezaji wa Bolton Fabrice Muamba aliyeanguka uwanjani baada ya moyo wake kusimama kufanya kazi kwa muda wa masaa 72 kwenye mechi ya march 2012 ametangaza kustaafu soka miezi mitano baada ya kutokea tukio hilo.Fabrice Muamba  mwenye umri wa miaka 24 ameiambia tovuti ya club yake kwamba bado anazidi kushukuru mungu kwamba bado yupo hai na pia amewashukuru madaktari waliomsaidia.



No comments: