www.nipetanosolowa.blospot.com

Saturday, August 11, 2012

TSH 323 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA MOVEMENT FOR CHANGE YA CHADEMA.

       Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akimtambulisha Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya kuchangia MOVEMENT FOR CHANGE ya CHADEMA.Jumla ya Tsh Mil 323,pesa taslimu zilichangishwa Tsh Mil 70 na ahadi ilikuwa  Tsh Mil 253.Hafla hiyo ya harambee ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
            Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha,Bw.Godbless Lema akihutubia katika hafla hiyo.

           Wanaharakati mbalimbali walijitokeza kuhudhulia hafra hiyo ya MOVEMENT FOR CHANGE katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

No comments: