Mbwana samata akiwa katika gari.
Mchezaji wa TP Mazembe Mbwana samata.
Mbwana samata akiwajibika katika moja ya mechi ya kimataifa ikiwa na timu yake ya taifa Tanzania.
Mchezaji Mbwana Samata aliuzwa kwa dola za kimarekani zaidi ya 100,000 kwenda TP Mazembe kutoka timu ya Simba SC ya Tanzania.Mbwana Samata kwa sasa analipwa dola 5000 kwa mwezi ambayo ni sawa na Tsh Mil 7.5.
Kwasasa amenunua gari la kisasa zaidi chrysler crossfire la mwaka 2006 ambalo limemgharimu takriban milion 50 za Kitanzania.Mbwana samata anaendelea kuonesha uwezo wa juu katika timu yake ya TP Mazembe.
No comments:
Post a Comment