www.nipetanosolowa.blospot.com

Sunday, August 12, 2012

DOKTA ULIMBOKA AREJEA NCHINI,AMESEMA YUPO FIT.

Picha chini:Kiongozi wa jumuiya ya Madaktari nchini Tanzania Dkt Steven Ulimboka akiwa amebeba maua  na kuzungukwa na madaktari wenzake na wananchi wa kawaida waliofika kumlaki mara baada ya kuwasili mapema leo Augost 12,2012 kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea kwenye matibabu nchini Afrika ya Kusini.Dkt Ulimboka alisema kuwa kwa sasa yupo fit na anaweza kufanya shughuli zozote.   

No comments: