www.nipetanosolowa.blospot.com

Thursday, September 13, 2012

MTUHUMIWA WA KIFO CHA DAVID MWANGOSI APANDISHWA KIZIMBANI.

      Mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha  channel ten kituo cha Iringa Marehemu David Mwangosi,afande Pasificus Cleophace Simon(23) mkazi wa FFU Iringa mwenye nambari za kijeshiG2573(aliyejifunika uso) akifikishwa mahakamani kwa ajili ya kusomewa mashtaka ya mauaji.
     Mnamo september 2,2012 katika kijiji cha Nyololo Mkoani Iringa,alimuua David Mwangosi kwa makusudi kinyume na kifungu cha sheria namba 148 kifungu kidogo 5A.i ya makosa ya jinai.
      Mtuhumiwa alijifunika kofia akiwa chini ya ulinzi wa polisi wenzie.
                    Gari lililomleta mtuhumiwa.

No comments: