www.nipetanosolowa.blospot.com

Friday, August 10, 2012

NEY WA MITEGO AZIDI KUAWPASUA WADADA WA BONGO MOVIE.

   Msanii wa Bongo Flava anayejulikana kama Ney wa mitego amezua tafrani baada ya wimbo wake mpya alioutoa hvi karibuni kuzua taflan kutokana na mistari yake katika wimbo huo ukielesa ''MACHANGUDOA WENYE VIWANGO WAPO BONGO MOVIE"Ney alipoojiwa katika kipindi flani cha televisheni maarufu hapa nchini alieleza kisa cha yeye kuimba hivyo kwani ushahidi anao,Ney aliendelea kueleza kuwa rafiki yake mmoja ambaye ni mfanya biashara alifanikiwa kulala na wasanii wa tatu wa bongo movie kwa wakati tofauti tena wote sio kwa mapenzi ya dhati bali aliwanunua kwa kuwapa pesa walizo hitajai."mmoja alitaka laki tano akapewa,mwingine laki tatu akapewa na mwinginea alitaka dola elfu moja lakini akaambulia laki sita"Ney alieleza.Nyimbo hiyo ilichukuliwa kwa hisia tofauti na wadau wa Bongo Movies na wengine walisema kama ni kweli angewataja kwa majina yao,Lakini msanii huyo Ney wa Mitego alisema "sipo tayari kuwataja kwa sasa lakini siku nikiamka vibaya ntawataja"Aliongeza kusema siku hizi wasanii wengi wao wa kike wa tasnia ya bongo movie wapo kwa ajili ya kuuza sura na sio kwa nia ya sanaa hasa.


No comments: