www.nipetanosolowa.blospot.com

Friday, August 3, 2012

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA YAENDELEA KUKUSANYA MAONI.

           Picha ya chini:Bw, Godson Luya ,mkazi wa kata ya Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya katika mkutano ulioitishwa na tume ya mabadiliko ya katiba katika kata hiyo hivi karibuni.
        Wakazi laiboreti-Wakazi wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakifatilia mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya ulioitishwa na tume ya mabadiliko ya katiba wilayani  Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni.

No comments: