www.nipetanosolowa.blospot.com

Friday, August 3, 2012

MRISHO NGASA AMEANZA MAZOEZI KATIKA KAMBI YA SIMBA SC.

Hatimaye mchezaji Mrisho Ngasa ameanza mazoezi katika kambi ya Simba.Kulikua na maneno yaliosikika katika vyombo vya habari na watu mitaani kwamba Ngasa amepelekwa kwa mkopo wekundu wa msimbazi pasi kuwa na mapenzi,Lakini mwenye Mrisho Ngasa alikaririwa akisema kwa sio kweli kwani yeye mpira ni kazi yake kwa hiyo atacheza timu yeyote, Ngasa alionekana na gari lake jipya alilopewa.





No comments: