www.nipetanosolowa.blospot.com

Friday, July 27, 2012

Yanga SC uso kwa uso na AZAM FC Fainal Kagame Cup jumamosi.

Hatimaye timu ya Yanga FC wamefanikiwa kutinga fainali katika kombe la Kagame 2012.timu ya yanga ilifanikiwa kuwafunga APR kwa mabao 1-0 katika mchezo mkali wa nusu fainali ulio chezwa jana,mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho ilikuwa si Yanga wala APR hakuna aliyeona goli la mwenzie ndipo mchezo ukaenda katika dakika 30 za nyiongeza.mchezaji Hamisi Kiiza aliipatia Yanga bao na kufanikiwa kuivusha fainali ambapo Yanga watakutana na wana rambaramba Azam FC siku ya jumamosi.

No comments: