www.nipetanosolowa.blospot.com

Saturday, July 28, 2012

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

     Ndugu zetu watanzania wanao tuwakilisha katika mashindano ya olympic 2012 yanayofanyika London wakiwa na nyuso za matumaini wakipita uwanjani katika shamrashamra za ufunguzi wa mashindano hayo yalio fanyika jana usiku kuamkia leo.
    Tuwaombee dua hawa mashujaa wetu walioko London ambao ndio wanaiwakilisha nchi yatu katika mashindano hayo ya olympic 2012 waibuke na medari.
     MUNGU IBARIKI TANZANIA.

No comments: