www.nipetanosolowa.blospot.com

Friday, July 27, 2012

Ajali yauwa mtu mmoj na kuwajeruhi kumi.



basi lenye namba za usajili T 140 BSG linalofanya safari kati ya Dar na Maundo Tandahimba lili pinduka na kuuwa mtu mmoja na kujeruhi wengine kumi.
  Tukio hilo lilitokea katika kijiji cha Sinza-Miteja wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi katika barabara kuu ya Dar-Mtwara.
b

No comments: